kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
Wasafi deal kubwa sasa hivi wanachukua watu wakubwa good ✔️. ila kwenye ile block 89 wangeongeza wengine maana calypCo na yule mwamba mbona Kama wana mihemko mingi sana....Sina wivu na mtu ni mtazamo tuUnajua kiasi gani atakuwa anaingiza hapo Wasafi hiv ujiulizi kwanini watangazaji wengi sasa hiv wanakimbilia Wasafi
Wanakimbilia au Wanafuatwa kusainiwa huko? Alaf watangazaji Wanaenda huko walikua radio ndogo na walikua hawalipwi vizuri, jamaa wanawaongezea Dau kidogo ndo maana inakua rahisi KuwapataUnajua kiasi gani atakuwa anaingiza hapo Wasafi hiv ujiulizi kwanini watangazaji wengi sasa hiv wanakimbilia Wasafi
Hapa Tz hakuna mtangazaji ..mzuri kama Sam misago awa wengine wanatumia nguvu kubwa kueleweka.
Hilo tulilitegemea kutoka kwako,labda kama kuna lingine.Mtangazaji wa kawaida hana Maajabu Yoyote.
MtazamoJamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anatembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale WasafiWasafi deal kubwa sasa hivi wanachukua watu wakubwa good ✔. ila kwenye ile block 89 wangeongeza wengine maana calypCo na yule mwamba mbona Kama wana mihemko mingi sana....Sina wivu na mtu ni mtazamo tu
Tupo sawa mkuu✔️✔️✅✅✅Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi
Me mwenyewe naona itakuwa hivyo.KWA AKILI YA HARAKA HARAKA NAHISI BLOCK 89 INAENDA KUFA NA WALE JAMAA WATASAMBAA THE SWITCH NA VIPINDI VINGINE.
NAHISI MUDA WA BLOCK 89 KITAANDALIWA KIPINDI CHA USIKU CHA MALOVEEE
[emoji3][emoji3] pole mkuuMtangazaji wa kawaida hana Maajabu Yoyote.
Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi
diamond hata ruge hajamfikia ndo ije kua steve? utakua umelewa weweMondi sio mtu mzuri kabisa, Mondi ana ubongo wa Steve Jobs,Elon Musk, Mandela , MLK na Jayz ukiwajumlisha.
Uzi kamili unakuja
KWA AKILI YA HARAKA HARAKA NAHISI BLOCK 89 INAENDA KUFA NA WALE JAMAA WATASAMBAA THE SWITCH NA VIPINDI VINGINE.
NAHISI MUDA WA BLOCK 89 KITAANDALIWA KIPINDI CHA USIKU CHA MALOVEEE
the switch ile ya times fm ilikuwaga chini ya cinde king nilikuwaga naikubali sana.Mtangazaji aliekuwa times fm lil OMMY leo ametambulishwa RASMI ndani ya wasafi fm .
Lil OMMY leo anazindua RASMI kipindi Cha THE SWITCH ndani ya wasafi fm.kipindi kitakachokuwa kinaruka kuanzia saa 8 mchana hadi 10 kamili jtatu Hadi ijumaa
Wapo vizuri pamoja na Amy gal wana swaggsthe switch ile ya times fm ilikuwaga chini ya cinde king nilikuwaga naikubali sana.
Ngoja nione hii itakuwaje.
Japo huyu jamaa nae yuko poa sana.
Sikupingi ✔️✔️✔️Hiyo idea ya kipindi cha malovee hata mi naona hivyo ila wakitaka waboe zaidi basi wathubutu kujaza watangazaji wengi kwenye kipindi kimoja (The Switch). Wale wa block 89 itabidi wagawanywe wapewe vipindi vingine tofauti kama vya jumamosi na jumapili, usiku wasimamie show wengine wa malovee. Yaani hapo lazima show moja ife ili nyengine ipewe uzito, zikienda zote kwa pamoja watafeli mno maana zote zinazungumzia wasanii wa kizazi kipya katika "angle" ile ile.
Kipindi chake pale Times kapewa yule msanii wa Hip Hop aliyekuwa bonge miaka ya nyuma BaghidadJamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anaembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
Noma kwelidiamond hata ruge hajamfikia ndo ije kua steve? utakua umelewa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app