Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Sasa kama mshahara wa wasafi unazidi wa hizo station kwanini asiende wasafi?.
HAPA UNA MLAUMU BURE..
usifikiri kikeke analipwa milioni 100 kwa mwezi.
Ndo maana Charles hillary alivyotoka BBC.
Kaenda kujishikiza azam .
Kungekuwa kuna hela huko unaposema.
mzee hillary angepumzika ale mafao yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeitendea hakhi hyo picha ktk ID yako,

Umeongea ukweli bila kung'ata maneno [emoji23],, lakini cha ajabu kuna kuna mtu anaumia ni hichi ulichoandika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume akiandika X badala ya S kuna shida...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hivyo ndivyo ilivyo Basi kila kipindi kitaanza kwa Moto halafu kitafulia Kama ilivyotokea kwa hiyo Block, kila kipindi cha magazeti cha kitenge na zembwela.... Ishu sio kuwa na watangazaji wenye majina swali Ni je wanaweza ku connect na wenzao?
Wasafi bado wanajitengeneza hawajaanza kuja mtaani, siku wakianza utasikia fujo zao kama ilivyokuwa kwa EFM
 
Wasafi bado wanajitengeneza hawajaanza kuja mtaani, siku wakianza utasikia fujo zao kama ilivyokuwa kwa EFM
Upande wa media wasafi bado Sana kiukweli, bado wanatembelea kivuli cha Clouds... Tokea EFM inaanza ilionyesha utofauti Sana na media nyingine na hiyo ndio imeipa nguvu Hadi Sasa... Wasafi haina pumzi bado haijajua itoke vipi inashindwa kufikiri zaidi ya upeo wa Clous
 
Mzee hakuna media inashindana na media nyenzake alafu kufananisha hata kwa uchache Clouds na Wasafi ni kosa kubwa.

Wasafi inapatikana pwani tu, Clouds iko all over the country ina umri wa kijana ambaye anatia mimba kabisa, ina watu walioko kwenye hiyo tasnia miaka dahari.
Alafu vipindi huwa vinaigwa tu hakuna jipya, hiyo singeli unayoisikia EFM miaka ya nyuma ilikuwa ndio mambo ya Times fm jiulize kwanini waliacha.

Kuna radio marekani zinasikika mji mmoja mmoja vipindi vyake ni vilevile and nobody is complaining kila mtu anatafuta listeners kivyake
 

Kwa kweli wanaosababisha mlinganisho ni mashabiki wa Wasafi kutaka kuuaminisha umma kuwa Wasafi wamekuja kuizima Clouds...
 
Mkuu mkuu pole sana.Una very poor reasoning.Ungeanza kwa kuorodhesha vitu vipya vilivyoko Efm.Na unaelewa maana ya kusema Wasafi wanatembelea kivuli cha Clouds au unaongea vitu usivyovijua.Tafuta maana ta kutembelea kivuli cha....kish uje uletw udwanzi wako tena hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amsikilize mtangazaji mwenye kigugumizi bwana, anaboa tu japo nafahamu uwezo wake wa kucheza mpira na mchango wake kwenye sanaa
Momo mbona yuko powa.Hata kigugumizi chache sio kikubwa na ana sauti Unique.Mbona kuna watu wanawapenda wale wa Efm wenye masauti ya kukwaruza wale wanaoendesha kipindi cha singeli nadhani ni Fido na mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli wanaosababisha mlinganisho ni mashabiki wa Wasafi kutaka kuuaminisha umma kuwa Wasafi wamekuja kuizima Clouds...
Mashabiki wa clouds na mashabiki wa wasafi ndio wanaofanya mlinganisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…