Lil Ommy siyo mjanja...Mshamba anaye brag brag tu..!

Mkuu ID yako inasema niagize chochote nami naomba kwa mpalange huko kweny joto tafadhal
 
Katika watangazaj wa yoo yooo walio grade ya mwisho tz ni uyu jamaa.kuna kpnd alitetea tuzo ya mtangazaj bora africa nikajua apa ndio katusua i mean ataenda radio kubwa kutokana na hyo cv kubwa aliyomake mxiuuu kumbe ni utumbo tu Yaan ni sawa na kama mcbezaji kutoka Namungo kwend Coastal Au Kmc then unajipongeza umefany move nzuri...

Au labd ni lugh ilimwangusha maan najua baadh ya watu wa tbr hawaendag shule
Jamaa ashachuj na ashazoelek sana "you knw wati amu seyi"
 
Hater ana hate!! Hapo ungeandika zaidi ungeponda hadi mmiliki wa radio!!
 
Maisha yalivo na unafiki ukute ni mfanyakazi mwenzake kwenye kipindi ndio kaona amlipue hapa jf afu wakiwa wote anamchekea
 
Lili ommy na masweta yake afu anageuza kofia yake kinamna fulani hivi swaga za tabora hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…