Lil Yatchy msanii wa hiphop ameingiza pesa nyingi 2017 kuliko wasanii wote bongo pamoja

Lil Yatchy msanii wa hiphop ameingiza pesa nyingi 2017 kuliko wasanii wote bongo pamoja

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
1. Diddy - $130 million
2. Drake - $94 million
3. JAY Z - $42 million
4. Dr. Dre - $34.5 million
5. Chance the Rapper - $33 million
6. Kendrick Lamar - $30 million
7. Wiz Khalifa - $28 million
8. Pitbull - $27 million
9. DJ Khaled - $24 million
10. Future - $23 million
11. Kanye West - $22 million
12. Birdman - $20 million
13. J. Cole - $19 million
14. Swizz Beatz - $17 million
15. Snoop Dogg - $16.5 million
16. Nicki Minaj - $16 million
17. Lil Wayne - $15.5 million
18. Macklemore & Ryan Lewis - $11.5 million (tie)
19. Rick Ross - $11.5 million (tie)
20. Lil Yachty - $11 million

Lil yatchy ni msanii mwenye miaka 19 ndani ya mwaka moja kaingiza dola $11m ambazo ni takribani shillingi ( 24,692,800,000)Billioni 24 na millioni 692 na laki 8.

Kwenye orodha ya wasanii wa hiphop waliongiza pesa nyingi mwaka huu ni wa 20.

Kwa billioni 24 lil yatchy ametengeneza pesa nyingi kwa mwaka huu kuliko wasanii wote wa musiki wa bongo fleva, gospel, dansi, asili, wanasoka, riadha, kikapu, TOT, WCB, Ali Kiba na wengineo wakiunganisha vipato vyao vya mwaka huu hawafiki hata nusu ya billioni 24.. Kama sikosei hawazidi hata shillingi billioni mbili au tatu.

Hii ni kuonesha kwamba uchumi wa sanaa bongo bado uko chini sana na kuna kazi kubwa sana ya kufanya kuukuza.
 
Tz sanaa almost haipo.. Uko ushabiki wa kijinga tu, mara team kima au sijui team nyani hakuna sanaa.. Usanii mtupu
 
images

images

images

images
DOGO WAMEMDISS SANA HIPHOP KUMBE NGOMA ZAKE WANANUNUA
 
Ni sawa na kufananisha uchumi wa Tanzania na Us, mtoa mada huna akili
 
Wao wenyewe wana logana,kushindania madem..
Watafka lin huko istoshe system ya kusimamia haki za wasanii hakuna
Wana ban show wa2 wa3 iizo madollar watazisikia2 kwenye bomba...
 
US ina watu zaidi ya 300 million, na wana uwezo wa kununua muziki. Assume tu watu million 1 wakispend $1 each, hiyo ni $100 million.
Kilaza kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu million 1 wakispend $1 ni $ 1 million dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahaha, umemdabua utamu!
 
instagram

Kanuni moja muhimu kabisa katika kulinganisha vitu ni kulinganisha vitu vinavyolinganishika.

Nikikuuliza, kati ya bendera ya taifa ya Tanzania na wimbo wa taifa wa Malawi kipi zaidi, utanijibuje?

Unalinganisha vitu viwili tofauti .

Diamond mlinganishe na Ali Kiba na Chamillionaire, sana sana na kina Davido na watu wa level hiyo.

Ndiyo maana hata kwenye boxing watu wanapambanishwa kwa uzito,huwezikumuweka mtu wa featherweight aende kupambana na mtu wa heavyweight.

Utashitakiwa kwa mauaji.
 
Back
Top Bottom