johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kesi ya Mbowe itaamuliwa mahakamani kwa mujibu wa sheria.Tuna imani na Samia, hali mradi yule shetani yupo kuzimu, tumpe ushirikiano mama.
Dosari yake kwangu ni kuingizwa mkenge kesi ya Mbowe tu, lakini muda anao wa kurekebisha na DPP kamteuwa yeye.
Huwezi kutumia makomandoo wa nchi kienyeji enyeji!