Lile jambo lililotabiriwa kutokea mwezi wa 07 na mwezi wa 08, nauliza bado halijatokea?

Lile jambo lililotabiriwa kutokea mwezi wa 07 na mwezi wa 08, nauliza bado halijatokea?

Mambo yamekuwa mengi hatujui lipi ni lipi
 
Nauliza manabii wa Tz , including britanicca n.k walisema mwezi 07 na 08 litatokea jambo ? Tunasubiri bado au limeshatokea.
kwa hio ndio BiKizimkazi kaenda kwa mganga wake ili azuie lisitokee?

Uzuri ni kuwa alilopanga Mungu litokee, litatokea tu hata kama ukiwa mbishi!
 
Utabiri wa wengi wa wanaojiita manabii wa leo, wanaongozwa na hisia na pindi wanapojikuta mioyo yao imelundika yale wanayohisi ni uonevu wa wanasiasa, basi wanajikuta kupatq unabii ambao ki ukweli nj hisia zao tu


Na ingawa si wote wenye kufanya hivyo
 
lipo kwene mchakato na limeanza rasmi leo kutokea..kilele chake ni october 29
 
Back
Top Bottom