Lile jambo lililotabiriwa kutokea mwezi wa 07 na mwezi wa 08, nauliza bado halijatokea?

 
Kiufupi ccm wanabidi kujipanga Sana Ila hali sio shwali kabisa
 
Ni akili za chuki kama si kuchanganyikiwa, kuwaza na kuombea mabaya ktk ardhi yako, ukijua huna pengine waweza paita kwako zaidi ya hapa.
Ahaaa mbwa nyie lazima tuwatoe jasho la ****** terh 29/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…