Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Ni kweli aliharibu maisha ya mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wapiga madili na wadhulumaji, wezi, magaidi
 
Alivyokuwa muuaji alijiona dunia ni yake hatakufa.

Mungu fundi sana asante Mungu kwa kumuondoa huyo muuaji maana alijiona hakuna wa kumgusa kwasababu ya mabunduki lkn walishindwa na akafa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mungu ahukumu watu kwa kusikiliza majungu na chuki zenu siku ikifika tutaondoka kila mtu kwa muda wake hata wewe utakufa siku moja uishi milele ndio utasema Mungu fundi
 
Magufuli tutakumbuka kwa kujenga madaraja, barabara, SGR, Bwawa la umeme la nyerere, hospitali, shule, umeme vijijini Tsh 25,000 tu, ulileta nidhamu serikalini, madini tuliyaona na kujenga masoko ya madini, vituo vya mabasi ya kisasa, masoko ya kisasa, ulipanua bandari ya Dsm, Tanga na Mtwara, umejenga mbomba la mafuta Tanga mpaka Uganda, umenunu ndege 11. Nani Kama magufuli kwa kizazi hiki. Yesu tupe magufuli mwingine.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
thumbnail_1560181784337.jpg

Alikuchukulia mkeo??.
 
Ukiondoa ubabe na sometimes UKATILI wake uliopitiliza.
Ila jamaa alkua Ni bonge la mzalendo.

Kiukweli,
Aliipenda sana Tanzania kuliko alivyoipenda nafsi yake mwenyewe.
Sasa hivi hadi Godbless lema anammisi magufuli,😂😂hizi siasa hizi
 
Mungu ahukumu watu kwa kusikiliza majungu na chuki zenu siku ikifika tutaondoka kila mtu kwa muda wake hata wewe utakufa siku moja uishi milele ndio utasema Mungu fundi
Najua nitakufa na nitakwenda kuhukumiwa.

Lakni magufuli alifurutu mipaka nakujiona ni yeye tu kwemye nchi ya Tanzânia wengine hawana haki ya kuishi lakn Mungu akamuonesha kwamba yeye ni wakila kitu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hata wewe utakufa ndugu na ole wako unamhukumu mwenzio kama wewe msafi
Nitakufa na sijamuhukumu na hukumu atakwemda kuikuta huko ashakotangulia saivi mnakuwa wapole kwasbabu anasemwa lkni alipokuwa anafanya ukatili wake mnakuwa hamchukii wala kukemea, mwisho wake mkifurahia.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Yeye haaakujua kama atakufa alijiona ni kila kitu katika nchi ya tanznia alijiamaulia nani afe na nani nimuumize kwahiyo naende tu huko akaomgoze hao malaika aliosema. Maana mpaka kukufukuru alikufuru.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app

Unajuaje kama alitubu kabla ya kufa we ndio mtoa hukumu kumbe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom