Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Labda hivyoMWENYE SAUTI HANA MAMMLAKA!
Wamiliki wa shule wengi ni hao mawaziri, wabunge na watu wao wa karibu wenye uchumi mkubwa.Sasa Mimi huwa najaribu kujiuliza haya matamko huwa ya faida gani? Kwani Serikali inakataza Mambo halafu huoni utekelezaji wake hii inamanisha Ni kutengeneza mazingira ya rushwa au serikali Haina meno? Kama ni hivyo Haina sababu ya kukataa.