Lile swali la "una mpenzi?" limesha pitwa na wakati sasa hivi, sasa hivi unatongozwa ukiiingiamo basi umeingiamo mengine yatafata

Lile swali la "una mpenzi?" limesha pitwa na wakati sasa hivi, sasa hivi unatongozwa ukiiingiamo basi umeingiamo mengine yatafata

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
Pesa, tamaa ya ngono

Ndio vimekuwa hamasa kuu ya mahusiano kwa sasa.

Wake za watu waajiuza.
Wamme za watu wamegeuka baba wa watot0 wa watu mtaani ili tu atafune jagina kirahisišŸ˜†
 
32EC3AFD-43A5-4A2A-9941-EE369BA7F181.jpeg
 
Mambo yamekuwa vululuvululu, hakuna ubishi hapa, wake za watu wanatoa uroda bila kipingamizi, ni hela tu inatakwa. Wake za watu wamekuwa na mahitaji mengi kiasi kwamba waume zao hawawezi kuwatimizia yote. Mambo ni mengi, kuna vicoba, kuna simu, kuna vibiashara vya hapa na pale, kwa hiyo wake za watu hutoa uroda ili wapate hela za kutimiza malengo yao. Kama kuna mwanaume ambaye mke wake hatoi uroda nje basi huyo mume ana hela nyingi za kuchezewa na mke wake.
 
Kumekuwa na matumizi makubwa mno ya fedha kiasi kwamba waume za watu hawana hela za kumudu mahitaji yote ya wake zao. Imekuwa ni fasheni wake za watu kubanjuliwa nje ili wapate hela za chapchap, hawakatai kutoa uroda. Wanaume wenye vipato vya uhakika ndio hupatwa na wake za watu. Labda wake za matajiri na wenye kipato kikubwa ndio hawatoi uroda hovyo, vinginevyo hao waume zao wawe wana hitilafu katika kuwanyandua wake zao. Mpaka vibabu hula vibinti wake za watu, hela za bando zinatafutwa
 
Ila baby girls kulombwa-lombwa ovyo hata haipendezi, labla awe malaya na malaya hawezi kuwa baby girl šŸ˜Ž
 
Back
Top Bottom