Lilikuwa kosa la kimfumo kumpa Polepole ubalozi Cuba

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa kisiasa alipokuwa katika utumishi wake pale Cuba, huyu sio yule Polepole mchelemchele. Huyu wa sasa ni Jasusi mwenye ramani ya mpango kazi mkononi mwake.
Ukiona mbwa anabweka sana jua mmiliki wake yu pembeni na panya uzidisha maringo akiwa karibu na shimo.

Nani kama mama alitoa boko kama la che malone alipompangia muhuni mkataa wahuni ubalozi huko Cuba.
Sisi tabaka la chini ,hoehae Wala mihogo,hacha tuendelee kuchochea kuni moto uwake panya watoke kwenye vichaka
 
H.Polepole na makonda wanajua mengi, ndio maana ni lazima wawanyenyekee, hawana jinsi …
 
Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa kisiasa alipokuwa katika utumishi wake pale Cuba, huyu sio yule Polepole mchelemchele. Huyu wa sasa ni Jasusi mwenye ramani ya mpango kazi mkononi mwake.
Ukiona mbwa anabweka sana jua mmiliki wake yu pembeni na panya uzidisha maringo akiwa karibu na shimo.

Nani kama mama alitoa boko kama la che malone alipompangia muhuni mkataa wahuni ubalozi huko Cuba.
Sisi tabaka la chini ,hoehae Wala mihogo,hacha tuendelee kuchochea kuni moto uwake panya watoke kwenye vichaka
Kiujasusi na utumishi

Polepole ni total failure ya vetting…. Walijua ni domokaya wakampa heshima becquse ya uCCM

TIME TO GET BACK TO THE REAL DIPLOMATS
 
Siasa ni udomokaya, siasa haitaki akili mingi , ni timing
 
Hapana kwa 100%.
Hakukuwa na namna nyingine yoyote kisiasa kutosha kumnyamazisha Polepole.
Kwa utamaduni wa CCM, mwanasiasa yoyote aliyeweza kupenya na kutumika na mfumo, akikosea na kupaswa kupewa adhabu, kama sio kufungwa jela basi anapaswa kuondolewa haraka nchini na kupelekwa mbali ya nchi huku akitakiwa kutokusema chochote. Na ubalozi ndio mahali sahihi zaidi, ataendelea kuishi lakini hatapaswa kusafiri ovyo, kuongea chochote cha kisiasa na kujihusisha na harakati zingine binafsi ovyo ovyo.

Kwa Polepole alianza kupelekwa Malawi, lakini akaendelea kusumbua zaidi, ikabidi atupwe Cuba, na kule ndio walimuweza zaidi. Ukiona mpaka akaamua kujiuzuru na kuacha ulaji wa ubalozi, ninakuhakikishia wazi kule alienda kuteseka sana.

Kwanini Cuba, ipo siku tutakuja kuongelea haya mambo kwa kina zaidi.
 
Muda ni hakimu mzuri
 
Back
Top Bottom