mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Mmeanza kutoka kwenye vichakaHamna lolote
Kajilipua ngumu kumezaNi betting,mkeka haujatiki ☹️
Kiujasusi na utumishiNimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa kisiasa alipokuwa katika utumishi wake pale Cuba, huyu sio yule Polepole mchelemchele. Huyu wa sasa ni Jasusi mwenye ramani ya mpango kazi mkononi mwake.
Ukiona mbwa anabweka sana jua mmiliki wake yu pembeni na panya uzidisha maringo akiwa karibu na shimo.
Nani kama mama alitoa boko kama la che malone alipompangia muhuni mkataa wahuni ubalozi huko Cuba.
Sisi tabaka la chini ,hoehae Wala mihogo,hacha tuendelee kuchochea kuni moto uwake panya watoke kwenye vichaka
Siasa ni udomokaya, siasa haitaki akili mingi , ni timingKiujasusi na utumishi
Polepole ni total failure ya vetting…. Walijua ni domokaya wakampa heshima becquse ya uCCM
TIME TO GET BACK TO THE REAL DIPLOMATS
Muda ni hakimu mzuriHapana kwa 100%.
Hakukuwa na namna nyingine yoyote kisiasa kutosha kumnyamazisha Polepole.
Kwa utamaduni wa CCM, mwanasiasa yoyote aliyeweza kupenya na kutumika na mfumo, akikosea na kupaswa kupewa adhabu, kama sio kufungwa jela basi anapaswa kuondolewa haraka nchini na kupelekwa mbali ya nchi huku akitakiwa kutokusema chochote. Na ubalozi ndio mahali sahihi zaidi, ataendelea kuishi lakini hatapaswa kusafiri ovyo, kuongea chochote cha kisiasa na kujihusisha na harakati zingine binafsi ovyo ovyo.
Kwa Polepole alianza kupelekwa Malawi, lakini akaendelea kusumbua zaidi, ikabidi atupwe Cuba, na kule ndio walimuweza zaidi. Ukiona mpaka akaamua kujiuzuru na kuacha ulaji wa ubalozi, ninakuhakikishia wazi kule alienda kuteseka sana.
Kwanini Cuba, ipo siku tutakuja kuongelea haya mambo kwa kina zaidi.
Alikuepo MembeMmeanza kutoka kwenye vichaka
Umeongea pumba tupuKiujasusi na utumishi
Polepole ni total failure ya vetting…. Walijua ni domokaya wakampa heshima becquse ya uCCM
TIME TO GET BACK TO THE REAL DIPLOMATS