Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.

Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.

Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika

Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.

Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.

Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.

Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.

Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.

Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.

Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.

Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.

Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.

Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.

Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
 
Sasa ACT wazalendo nao uwaite wataalamu? Una akili timamu kweli?

Act hakuna namna itapingana na serikali kwa sababu ni sehemu ya serikali.

Pili Zitto hawezi kumpinga 'muislamu' mwenzake kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe.

Zitto hana kazi, anaishi na kula kwa kutegemea ccm, moja kupitia kwa mke wake binti wa Bulembo na pili kupitia act Zanzibar ambayo iko pamoja na ccm.

Ungetaja watu wa maana ningekuona una akili, unamleta Zitto na act yake hapa kama rejea? Unafikiri sawa sawa kweli?
 
Polee sana. Najua ukweli unauma na haya sio maneno yangu. Ni maneno ya wahenga
 
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.

Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.

Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika

Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.

Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.

Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.

Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.

Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.

Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.

Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tlya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.

Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.

Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.

Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.

Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Una akili ndogo sana.
 
Afu unaweza kukuta haumiliki japo Ka-Vitz ka zawadi ya shemeji.

Ushauri wangu, dadaako kashaolewa mwache awe huru... Anza maisha yako kibingwa....
Polee sana. Najua ukweli unauma. Vumilia tu
 
Back
Top Bottom