Lill Ommy: Siwezi kamwe kumtafuta Nandy kwaajili ya mahojiano, namuona analandalanda tuu mtaani

Hivi Wasafi ni ya Kusaga, au mmoja wa wana hisa?..
 
Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond?
Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu
Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond?
Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu
Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond?
Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu
Roho mbaya tu hizo mkuu wasafi radio ni ya D. Jamaa amekomaa Na Kusaga utafikiri amelipwa kuchafua Brand ya Domo
 
Sijaona hoja yoyote ya msingi zaidi ya kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa Wasafi Fm ni ya Kusaga, kitu ambacho umekuwa ukikifanya katika kila nyuzi unayoanzisha. Hata hivyo amini usiamini, Wasafi media inakuwa kwa haraka kupitia mgongo wa brand ya Diamond Platinumz na mashabiki wake, hela alizoweka pale mke wa Kusaga si chochote bila brand ya Diamond Platinumz na mashabiki wake.
 
Lil Ommy anakichwa kibaya, I hope ana matatizo ya akili pia... Hajiamini ndio maana anavaa kofia muda wote... Mtoto wa kiume huwez kumdiss mwanamke
Sometimes mambo mengine ni kuyaacha tu yapite.

Maisha ni magumu, watu wanajitoa akili kulinda vibarua vyao.

WCB siku zote wanapambana kumpandisha Zuchu, na msanii wa kike aliyeko kwenye peak sasa hivi wanaona ni Nandy.

Walianza na Lady Jaydee ila walivyoona kakubali kumuunga mkono msanii wao wakaachana naye.

Kwa Nandy wameshamfanyia figisu kubwa sana ikiwemo kumpa kazi na airtime Gig money ya kumvuruga. Tena Gigi amekuwa akihojiwa na huyu huyu Lil Ommy.

Muziki sasa hivi umejaa SIASA CHAFU SANA.

Ukiwa shabiki juu juu tu, akili ndogo, shabiki sukule huwezi kuelewa, unaweza usijue na wasanii wengi huwa wanakaa kimya na kufa nayo rohoni.

Binafsi sishangai maana hata Nandy alipandishwa juu na Ruge baada ya Ruby kumzingua
 
Swaga za Ki-biden Ni Vile Anavyolambalanva Malips yake ya Mdomo kila Wakati [emoji3][emoji3][emoji3] Ila Lile lijamaa lijinga Sana.
hahaha MVP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…