Lill Ommy: Siwezi kamwe kumtafuta Nandy kwaajili ya mahojiano, namuona analandalanda tuu mtaani

Ofcoz ni watu wawili tofauti Ila under the same roof. Hata mtaji na plans unakuta ni za wao wawili wanafanya hivyo ili kukamata frequency za broadcast na biashara pia.
Kusaga ni janja janja sana. kahodhi frequency nzuri nzuri kibao za hapa Dar.

Hata 88.5 inayotumiwa na Wasafi Dar ilikuwa ya kwake wakati huo kulikuwa na kiredio uchwara kinapiga muziki tupu kinaitwa Classic fm. Vile vile ilikuwa inasikika BBC World service.

Amehodhi frequency kupitia viredio utasikia City fm, Classic fm, Coconut fm mara The Beat fm.

Yaani hata Azam walipewa 143... frequency zote za 88 na 99 zimeisha.
 
Upo sahihi, classic FM ilikuwaga poa haina maongezi unakula ngoma za mbele tu. Jamaa amekamata frequency za mwanzo sababu magari mengi yalikuwa na radio ambazo hazivuki 90 na wasikilizaji wengi kwa mji wa Dar ndio wapo kwenye mishemishe.

Hata za baadhi ya majiji mengine amezikamata anachofanya ni kuweka mtu kama director then yeye anakuwa na separate agreement na huyo mtu sasa kwa hii ya wasafi it was easy sababu aliweka mkewe.

As a businessman amefanya sahihi tu kwanza kumpatia shares mama watoto sio mbaya lakini kumbuka kuonekana wewe ni director na zile shares haimaanishi una maamuzi kwenye management.

Inaweza kuwa ni nominal shares ambazo kama diamond zile ni just nominal shares haimaanishi yeye ana maamuzi kwenye board sanasana ataziearn pale atakapotumbukiza mchuzi otherwise atabakia kwenye makaratasi tu.

Corporate management wengi hawafahamu, wakiona Ile sijui asilimia arobaini na sita wanajua diamond ndio boss sana, well ni kweli no mmoja ya promoters Ila ana nominal shares mwenyewe mwenyewe hela aliyetoa na kufacilitate kila kitu yupo aisee.
 
Biashara ya media ni ngumu sana. Angekuwa Diamond mwenyewe asingemaliza hata miaka 2.

Kuna tycoons wameshika soko kikamilifu.

Davis Mosha alikuja na Africa Swahili mwishowe akaishia kuiuza kwa kina Sallam SK, siku hizi inaitwa Dizzim.

Msama naye DIRA TV sijui imefikia wapi.
 
Moyo unapata faraja sana pale unapo imagine kuwa mondi hana chochote pale wasafi[emoji23]...sikupingi kwa kujifariji kwako maana ndio njia pekee kwako yakupata relief [emoji23].
 
Moyo unapata faraja sana pale unapo imagine kuwa mondi hana chochote pale wasafi[emoji23]...sikupingi kwa kujifariji kwako maana ndio njia pekee kwako yakupata relief [emoji23].
Moyo unapata faraja sana pale unapo imagine kuwa mondi hana chochote pale wasafi[emoji23]...sikupingi kwa kujifariji kwako maana ndio njia pekee kwako yakupata relief [emoji23].
Kutoelewa tu.
 
Roho mbaya tu hizo mkuu wasafi radio ni ya D. Jamaa amekomaa Na Kusaga utafikiri amelipwa kuchafua Brand ya Domo
Zungumzia content achana na iyo sentensi maana kila mtu ana ukweli wake anaoujua
 
Kwa Hyo Mke Wa Kusaga ambae Ni Juhayna Zaghalulu Ajmy Ndio pia anaitwa Kusaga hauoni kama Hawa Ni Watu Wawili Tofauti Mkuu
Mke wa kusaga ndio kusaga mwenyewe huyo mke ni kivuli chake tu........kuna watu wanajua kufukuzia fursa bana kupitia umaarufu wa mondi
 
Hii janja janja ya kukamata freq muanzilishi marehemu aiseee mchaga yule balaa mno....
 
Kwa maelezo haya basi Huu mji una wajanja wengi sana na wanamtumia sana mondi kutoboa
 
Kama kuandika kiswahili shida Nenda ukalime! Awezi ni nini neno ni hawezi
 
Heee mosha kumbe alibwaga manyanga...

Na hao dizzim bora walivyokimbilia moro maana hapa mjini pagumu mno kutoboa
 
Heee mosha kumbe alibwaga manyanga...

Na hao dizzim bora walivyokimbilia moro maana hapa mjini pagumu mno kutoboa
Kulikuwa na Africa Swahili fm ambayo sasa ndio Dizzim fm ( hii kwasasa inasikika Morogoro ), na Africa Swahili TV ambayo ndio Dizzim TV.
 
Mm ndo maana nawapongeza clouds Kwa
Kukamatia fursa hua hawafanyi mchezo
Kusaga pale anaoga mpunga mrefu Sana
Kwakua domo anatumika kuinua brandi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…