LilOmmy wa Times fm muda utazungumza

Jamaa ana kipaji kikubwa sana. Ndo presenter ninae mkubali sana kwa sasa.

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Niliona interview yake na Majani ilikua one of the best..hata majani mwenyewe alikua ana enjoy kuulizwa maswalu..huyu jamaa anajua sana kiukweli
 
Mume wa fatma nyangasa wa itv

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
Huyu kijana anaheshimu sana watu na dj, producer hakika atafika mbali kwa heshima anayoitoa kwa watu wote.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Mtasababisha EFM na Clouds Fm waanze kulizunguka jengo la Times FM...
 
jamaa ni mkali kiukweli.. first time namsikiliza nilijiuliza inakuaje mtangazaji bora kama huyu anakua kwenye redio ndogo kama hiyo..
 
Muyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....

Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....

Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana


Mke wa mchizi....
 
Sky walker, jabir salehe na lil ommy wako poa.. sema lil ommy apunguze u yo yo.. anazinguaga sometimez

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Pia apunguze maneno ya "I like that"..
 
Mbona sijawahi kukusikia lili Ommy?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
uko mashambani redio za mjini hazishiki wala husikilizi ila Picha za wake wa watu unazipata, kumbuka wakiume wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…