LilOmmy wa Times fm muda utazungumza

LilOmmy wa Times fm muda utazungumza

Muyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....

Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....

Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana

Mke wa mchizi....
18723757_1858200411111970_1270457970471206912_n.jpg
Shamim Mlacha unhhh.
 
Jamaa yupo vizuri,sema apunguze "i like that"

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Muyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....

Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....

Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana

Mke wa mchizi....
18723757_1858200411111970_1270457970471206912_n.jpg
Mke mzuri sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyo binti yuko vizuri anatumia jina gani huko IG?

-Ndumilakuwili-
 
Bas sawa asante kwa kujitangaza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jamani kamuoa Dada yangu na Dada yangu ni huyo pichani nae ni mtangazaji ITV,sasa mbona humuweki shemale unamuweka Dada?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jamani kamuoa Dada yangu na Dada yangu ni huyo pichani nae ni mtangazaji ITV,sasa mbona humuweki shemale unamuweka Dada?

Post sent using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu dada yako yuko bomba,vipi huna dada wengine ambao hawaja olewa?

-Ndumilakuwili-
 
Sawa....

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Kweli jamaa kapambana nakumbuka mara ya mwisho niliachana nae Tabora akiwa bado anaunga unga maeneo ya stand ya zamani big up kwake swaiba wangu huyo
 
Dogo kaanza zamani sana hiyo kazi nakumbuka kabla TBR hakuna radio yeyote ya FM walikua madogo wa tatu dullah k lilommy na mac zube sema dogo ana kaza sana atafika mbali akomae

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yeah..nakumbuka enzi zile yuko VOT. Alkua anafanya poa sana kwa level zile
 
Mzee wa "kibabe"...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Binafs Tambwe na mwona ana fanya pia ila bwana mdogo Idrisa onelko wa campus vibe kama ana mzidi maujanja kwa miaka ya 2011 had 2012 nilikua na mwelewa sana Aloyce Mapembe (pembe beby) haswq kwenye bong dot hom kabla ya ku mwachia Jabili
 
Sky walker, jabir salehe na lil ommy wako poa.. sema lil ommy apunguze u yo yo.. anazinguaga sometimez

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Jabili na mkubal sana kipind yuko times kipind cha the jump off...huku e fm radha 360 muda wake mo mdgo ana kosa nafas kumwaga maujuz...na Emma kapanga wa E fm nae ana fanya poa sana
 
Back
Top Bottom