Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuuu ule muda wa kina samu love saa mbili had saa nne wanao tumia kupiga visungeli huo muda wange mpa jabilk afanye uchambuz wa kopo za hipop nili mfaid sana times fm kipind cha the jump off haswa anapo kua na mkali wa weki utapenda anavy mchambuaMuyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....
Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....
Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana
Mke wa mchizi....
![]()