Shamim Mlacha unhhh.Muyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....
Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....
Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana
Mke wa mchizi....
Mke mzuri sanaMuyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....
Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....
Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana
Mke wa mchizi....
Huyo binti yuko vizuri anatumia jina gani huko IG?Muyu jamaa mngetuwekea na clips zake wengine tupo huku mashambani Olayaitoktoko...
Radio za huko mjini hazishiki huku....
Efm hawamtendei haki huyu mnyamwezi Jabir Saleh mda wa kipindi chake kimefinywa sana....
Efm kipindi cha mchana apewe huyu jamaa kukimbizana na clouds jamaa anamudu sana
Mke wa mchizi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uko mashambani redio za mjini hazishiki wala husikilizi ila Picha za wake wa watu unazipata, kumbuka wakiume wewe
No,mume Wa my sister shamimu Mlacha Wa ITVMume wa fatma nyangasa wa itv
Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
Hongera mkuu dada yako yuko bomba,vipi huna dada wengine ambao hawaja olewa?Jamani kamuoa Dada yangu na Dada yangu ni huyo pichani nae ni mtangazaji ITV,sasa mbona humuweki shemale unamuweka Dada?
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwetu tumejaa warembo karibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera mkuu dada yako yuko bomba,vipi huna dada wengine ambao hawaja olewa?
-Ndumilakuwili-
na mie ntakuja kukisalimia hapoKwetu tumejaa warembo karibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Jf hamkosi maneno eeeeh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mbona mshamba? Hiyo si midosho kavaa? Nilitaka nimsikize ila first impression inaonyesha hana standards.
Ni kweli jamaa yupo vizuri sana
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Jabili na mkubal sana kipind yuko times kipind cha the jump off...huku e fm radha 360 muda wake mo mdgo ana kosa nafas kumwaga maujuz...na Emma kapanga wa E fm nae ana fanya poa sanaSky walker, jabir salehe na lil ommy wako poa.. sema lil ommy apunguze u yo yo.. anazinguaga sometimez
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app