Lima kisasa Kwa kujenga greenhouse

Lima kisasa Kwa kujenga greenhouse

Antonio Conte

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
1,085
Reaction score
1,741
Hi?

Greenhouse Tanzania ni wataalam wa ujenzi wa wa greenhouse na mifumo yote ya umwagiliaji. Pia ni wataalam wa kilimo na hutoa ushauri juu ya kilimo na changamoto zinazompata mkulima. Pia husaidia kutafuta masoko ya mazao.

Ghalama zetu ni nafuu sn na tunafanya kz nchi nzima.

Kwa mfano,

greenhouse yenye ukubwa wa mita 8×20

Hii tunajenga Kwa milioni 6

Hii tunakujengea Kwa bomba za chuma.

Tunakuwekea tanki la maji la lita 1000 na stand yake ya futi 6.

Tunakuwekea mfumo wa flat irrigation.

Tunakufungia water filter

Tunakulimia na kuliandaa shamba vizuri.

Na baada ya kukukabidhi greenhouse yako ukipanda mazao yako ya mwanzo tunakutembelea Kwa muda wa miezi mitatu kuona ni changamoto gani unazo kutana nazo.

Kwa wale watakao hitaji maelezo zaidi wanifate pm.
 
MImi nahitaji kupata shednet pamoja na sheet ya kuezeka huu. Naomba nipatiwe bei kwa Sq metre.
 
Mkuu je nikiwa vifaa vyote kunifungia na utaalam mwingine ni bei gani?
 
Mkuu unaweza kutuwekea angalau picha ya greem house mlizowahi kujenga,piakufafanua mnatumia material gani ? Metal au fito ? etc etc. Natanguliza shukurani.
 
Mkuu unaweza kutuwekea angalau picha ya greem house mlizowahi kujenga,piakufafanua mnatumia material gani ? Metal au fito ? etc etc. Natanguliza shukurani.
Ktk Post kuu huko nimesema tunajenga Kwa mfano ya ukubwa wa mita 8×20 hii tunajenga Kwa bomba za chuma. Hebu soma tena hiyo post yangu kuu
 
Hizo hapo
IMG_20180911_171437.jpeg
FB_IMG_1536253758710.jpeg
 
Karibu tena mkuu.

Hiyo ya mita 8×20 tunajenga ya bomba kwa shilingi milioni 6 tu.

Tunakuwekea water tank ya lita 1000 na stand yake.

Filter.

Tunakulimia

Wewe unakuja kupanda tu.


Bado tunakutembelea kila baada ya wiki mbili kuona unavyoendelea na mazao yako kutoa ushauri Kwa muda wa miezi mitatu
Asante sana kwa maelezo na hizo picha.
 
Greenhouse inafaa kwa mazao gani zaidi ya nyanya na matango tujuzane wataalamu mm niko Kisarawe napambana
 
Back
Top Bottom