Limbwata lipo na limeharibu maisha ya wanaume wengi. Wanawake wanaharibu akili za wanaume

Limbwata lipo na limeharibu maisha ya wanaume wengi. Wanawake wanaharibu akili za wanaume

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mtu anawekewa limbwata na mwanamke mpaka anasahau familia yake.

Anashindwa kufanya kazi.

Anawaza kuhusu mwanamke na wivu usiofaa.

Anahonga mwanamke mpaka anaharibu maisha yake.

Wengine wanakunywa sumu.
 
Hili swala mnalipa sana kiki, hakuna limbwata kama ingekuwepo unadhani kuna mwanamke ambae angeachika kizembe? Kila siku si mnatutafutia sababu za kutuacha? Hiyo limbwata ingekuwepo mungefurukuta?
 
Hili swala mnalipa sana kiki, hakuna limbwata kama ingekuwepo unadhani kuna mwanamke ambae angeachika kizembe? Kila siku si mnatutafutia sababu za kutuacha? Hiyo limbwata ingekuwepo mungefurukuta?
Well said wanaume wengi tunajiendekeza ,,,ingekua limbwata linapatikana kirahisi wote tungekua tumeshalipuliwa
 
Umesema ukwel ndugu yangu mfano uku kitaa kuna jamaa kalishwa likbwata mpk kasahau familia kasepa zake tuwe makini wananzengo
 
Kuna mwanababa umri miaka 37 huku Moshi, ana gari, nyumba na kazi nzuri tu, jioni akirudi anamuita mkewe na kumkabidhi pesa zote apange matumizi, hata akitane na ninu njiani hawezi nunua, hata kama ni muhimu, anasema ngojea amuulize mkewe kwanza!

Anatandikwa vibao vya mgongo mbele ya akina mama wa vikoba, utamkuta anaosha vyombo [emoji24][emoji24]

NOTE:
Msioe Warangu au Wamachame kutoka Moshi

Mtanikumbuka
 
Well said wanaume wengi tunajiendekeza ,,,ingekua limbwata linapatikana kirahisi wote tungekua tumeshalipuliwa
Hujawah kukutana nalo wewe we unaona upo sawa

Ila nje watu wanakuona umeshikika kabisa umekuwa zuzu mpka ndugu na wazazi wanakuonea huruma

Baadae likiisha akili zikirudi ndio unakumbuka upumbavu uliofanya unaamini kabisa hazikuwa akili zangu
 
Back
Top Bottom