Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Well said wanaume wengi tunajiendekeza ,,,ingekua limbwata linapatikana kirahisi wote tungekua tumeshalipuliwaHili swala mnalipa sana kiki, hakuna limbwata kama ingekuwepo unadhani kuna mwanamke ambae angeachika kizembe? Kila siku si mnatutafutia sababu za kutuacha? Hiyo limbwata ingekuwepo mungefurukuta?
Hujawah kukutana nalo wewe we unaona upo sawaWell said wanaume wengi tunajiendekeza ,,,ingekua limbwata linapatikana kirahisi wote tungekua tumeshalipuliwa