Limenijia Tu...

Limenijia Tu...

Sio kutabasamu tuuu,huwa simu inalazwa kifuani baada ya mazungumzo huku imekumbatiwa na mkono mmoja huku macho yanazunguka kuvuta kumbukumbu nzuri nzuri mpaka usingizi unakupitia!

Hhhahha ...kaaazi kweli kweli!Hapo ukute we ukimaliza unaikumbatia mwenzio anamkumbatia mwingine au anafyonza kwa kumchosha na simu yako!!
 
Nimeipenda sana hiyo. Sasa ngoja nimtafute kwenye Skype aung'arishe moyo wangu.

Msalimie kwa niaba yangu...mwambie nampa asante kwa kung‘arisha moyo wako maana hata uchokozi umepunguza siku hizi!!
 
Binti akiwa toto dogo anakuwa na hisia kama zako (za kiume)

Ehhhh?!
Kwahiyo siku nikiacha kunyonya vidole na mimi ntaanza kuwa na kiwewe cha mapenzi ehhhh?!
 
Ehhhh?!
Kwahiyo siku nikiacha kunyonya vidole na mimi ntaanza kuwa na kiwewe cha mapenzi ehhhh?!

Subiri ukue kwanza, usijiachishe kunyonya vidole ili tukuone mkubwa
Haya mambo yatakuingia automatic yenyewe
Yaani kila asubuhi utakuwa unataka koni ya azam
 
Subiri ukue kwanza, usijiachishe kunyonya vidole ili tukuone mkubwa
Haya mambo yatakuingia automatic yenyewe
Yaani kila asubuhi utakuwa unataka koni ya azam

Khaaaa!!Wewe......!!
 
Mimi huwa karibu na simu yangu full time,waga nashindwa kuko concentrate kwenye kitu chochote zaidi ya ataniambia nini next,nimwambie nini,tufanye nini.....na zaidi waga nawaza future yetu pamoja....ujinga mtupu, baada ya siku chache najiona mjinga....!!!!:majani7:
 
Back
Top Bottom