DOKEZO Limeshafika ghorofa ya 13 na linaendelea, lakini nguzo kama njiti za kiberiti

DOKEZO Limeshafika ghorofa ya 13 na linaendelea, lakini nguzo kama njiti za kiberiti

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwani wewe pale shaka ni zile ndondo au????[emoji15][emoji15][emoji15] Ingekuwa lina nyufa sawa mkuu...
Ila kwa jengo ambalo lime-violate 'set backs' (umbali baina ya jengo moja hadi jingine) regulations kwa kiwango cha kutisha namna hiyo, basi inatia shaka juu ya regulations zingine zikiwemo za ubora kama zinafuatwa. Achilia mbali kwamba muonekano tu unatia shaka, mtu mgonjwa unaweza kumgundua bila hata kumpima muda mwingine..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ukaribu kwa mahali kama Kkoo mbona kawaida tu mkuu...! Nafasi zimebana mzee unashangaa kunjenga karibu wengine wanajenga juu yake...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ukaribu kwa mahali kama Kkoo mbona kawaida tu mkuu...! Nafasi zimebana mzee unashangaa kunjenga karibu wengine wanajenga juu yake...
Sasa hiyo ni violation lakini kwa jengo hili imekuwa too much, ni kama yanaegemeana hivi, hapana aisee😂😂
 
Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.

Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.

Pia wanasema jengo moja hadi jingine inabidi paachwe nafasi walau ya kupumulia, sasa hilo jengo ni kama linataka kugusa hili lingine, kwa ukaribu huu, hata moja moto ukiwaka lazima la pili lishike moto.

Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.

View attachment 1193373
duh
 
KUNA MOJA NIMELIONA WEEKEND HAPA SHULE TANKIBOVU PEMBEN YA KITUO KA.A UNAENDA MWENGE UKITOKEA TEGETA

LINA PICHA YA GHOROFA 3

HIVI SASA WANAMALIZIA YA NNE

NKAULIZA JAMAA WAKASEMA WALIPOFIKA YA TATU WAKAENDA KULIZIA HUKOO WAKAPEWA GO AHEAD

MJIANDAE NA HAYA
 
Mkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Endapo ikitokea madhira yakatokea kwenye Jengo, wataoadhirikia kupata hasara ya Mali na roho za watu sio mwenye Jengo. Ni kampuni ya Bima, Wafanyabiashara na wateja. Ambao kimsingi wanaweza wakawa ndugu zetu, marafiki, Jamaa na ndugu au hata wewe na Mimi. Think bigger...
 
  • Thanks
Reactions: apk
Tatizo hamjui haki zenu za kirai, unapolipa kodi sehemu ya hela yako inatakiwa itumike kuhakikisha kuna watu wanalipwa kulinda, mali, usalama na afya za wengine. Tusipende kujishughulisha na mambo yasiyotuhusu, wapo wataalamu wanalipwa kwaajili ya kukagua, kusimamia na kuridhia mambo ya ujenzi. Ni kweli zipo ajali na zipo namna za kushughulika nazo. Acheni umbea, msijishughulishe na mambo yasiyowahusu.
Natumaini hata la Kariakoo watu walilipwa Kwa Kodi Kuyafanya hayo ulivyosema. Ikawaje baada ya Jengo kuanguka kila Mtu ana shangaa naye aliyeidhinisha Jengo kufukuliwa chini kujenga basement hili shughuli nyinginezo zikiendelea? Watakaokufa sio Hao uliwataja, Bali ni Ndugu zetu, kaka, Jamaa na marafiki unaweza kuwa Mimi na wewe... Think bigger
 
Engi9neer maiko kazini,na kuna mall kubwa pia ipo hapo mjini kuna mitimingi sana wamesema itakua kubwa zaidi ya mlimani city.angalka vijiti vilivyowekwa
 
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...

Mchana mwema!
Kariakoooo alikuwa na NIDA NO??AMEPEWA PERMIT WAUWAJI NDIO HAO MA ENGN NA WATOA PERMIT
 
Back
Top Bottom