Kwani wewe pale shaka ni zile ndondo au????[emoji15][emoji15][emoji15] Ingekuwa lina nyufa sawa mkuu...Ili usipoteze muda kuniandikia risala badala ya kujibu hoja kwamba jengo linatia shaka kama limeruhusiwa kuzidi ghorofa 10 as per initially approved design drawings.
Sasa akatae kwani yeye ndiye anatoa vibali vya ujenzi? Wakati wa kupiga plaster cement lazima iingie vyumbani mwa wapangaji wake hata hivyo, maana majengo yamekaribiana sana
[/Qnmemaanisha kuwa kashindwa kulalamika kunakohusika kuhusu huo ujenzi
Ila kwa jengo ambalo lime-violate 'set backs' (umbali baina ya jengo moja hadi jingine) regulations kwa kiwango cha kutisha namna hiyo, basi inatia shaka juu ya regulations zingine zikiwemo za ubora kama zinafuatwa. Achilia mbali kwamba muonekano tu unatia shaka, mtu mgonjwa unaweza kumgundua bila hata kumpima muda mwingine..Kwani wewe pale shaka ni zile ndondo au????[emoji15][emoji15][emoji15] Ingekuwa lina nyufa sawa mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ukaribu kwa mahali kama Kkoo mbona kawaida tu mkuu...! Nafasi zimebana mzee unashangaa kunjenga karibu wengine wanajenga juu yake...Ila kwa jengo ambalo lime-violate 'set backs' (umbali baina ya jengo moja hadi jingine) regulations kwa kiwango cha kutisha namna hiyo, basi inatia shaka juu ya regulations zingine zikiwemo za ubora kama zinafuatwa. Achilia mbali kwamba muonekano tu unatia shaka, mtu mgonjwa unaweza kumgundua bila hata kumpima muda mwingine..
Sasa hiyo ni violation lakini kwa jengo hili imekuwa too much, ni kama yanaegemeana hivi, hapana aisee😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ukaribu kwa mahali kama Kkoo mbona kawaida tu mkuu...! Nafasi zimebana mzee unashangaa kunjenga karibu wengine wanajenga juu yake...
SawaMkuu mbona PM yako imebana? Anyway, jengo la kanisa ghorofa moja ya watu wasiozidi 50 upande wa kokoto waweza tumia hizi za kawaida?
Sijakuelewa.Sawa
duhPicha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.
Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.
Pia wanasema jengo moja hadi jingine inabidi paachwe nafasi walau ya kupumulia, sasa hilo jengo ni kama linataka kugusa hili lingine, kwa ukaribu huu, hata moja moto ukiwaka lazima la pili lishike moto.
Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.
View attachment 1193373
UNA KAMPUNI ZA KUBEBEA MAITI NINI NA MA SPECIAL HIREMkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Uoiza eng. Yukowapi uchdkeNimekumbuka lile la Chang'ombe miaka ileeee!!!
Endapo ikitokea madhira yakatokea kwenye Jengo, wataoadhirikia kupata hasara ya Mali na roho za watu sio mwenye Jengo. Ni kampuni ya Bima, Wafanyabiashara na wateja. Ambao kimsingi wanaweza wakawa ndugu zetu, marafiki, Jamaa na ndugu au hata wewe na Mimi. Think bigger...Mkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Endapo ikitokea madhira yakatokea kwenye Jengo, wataoadhirikia kupata hasara ya Mali na roho za watu sio mwenye Jengo. Ni kampuni ya Bima, Wafanyabiashara na wateja. Ambao kimsingi wanaweza wakawa ndugu zetu, marafiki, Jamaa na ndugu au hata wewe na Mimi. Think bigger...
Natumaini hata la Kariakoo watu walilipwa Kwa Kodi Kuyafanya hayo ulivyosema. Ikawaje baada ya Jengo kuanguka kila Mtu ana shangaa naye aliyeidhinisha Jengo kufukuliwa chini kujenga basement hili shughuli nyinginezo zikiendelea? Watakaokufa sio Hao uliwataja, Bali ni Ndugu zetu, kaka, Jamaa na marafiki unaweza kuwa Mimi na wewe... Think biggerTatizo hamjui haki zenu za kirai, unapolipa kodi sehemu ya hela yako inatakiwa itumike kuhakikisha kuna watu wanalipwa kulinda, mali, usalama na afya za wengine. Tusipende kujishughulisha na mambo yasiyotuhusu, wapo wataalamu wanalipwa kwaajili ya kukagua, kusimamia na kuridhia mambo ya ujenzi. Ni kweli zipo ajali na zipo namna za kushughulika nazo. Acheni umbea, msijishughulishe na mambo yasiyowahusu.
Kariakoooo alikuwa na NIDA NO??AMEPEWA PERMIT WAUWAJI NDIO HAO MA ENGN NA WATOA PERMITHaya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Tume hairudishi Roho zilizopotea au kufufua waliokwisha Kufa.Tutaunda tume kuchunguza Chanzo Cha ajali msiwe na wasi