Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi