Kariakoo zipo hadi za buku ni wewe tu.Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Dah. Itabidi niendeKariakoo zipo hadi za buku ni wewe tu.
Nenda tu kwa kweliDah. Itabidi niende
True.
nyie wa Tandale kwa Tumbo hizi hamuwezi si kwa ajili yenu. hizi zinanunuliwa na watu wa mitaa flani flani hivi DarJana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Hizo utazipata zile za juice cola!Mi nataka ninunue ya buku mbili kwa minajili ya kudekia.
No!Hizo utazipata zile za juice cola!
Hizo hutapata mkuu nisikudanganye! Za juice cola ni nzuri kudekia maana ile ni cotton 100%No!
Za Yanga kabisa.
Msimu huu zitakuwa elfu 3Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Umaskini wako mbaya sana, unaweza kusomesha mtoto kwa 45,000/- tshs?Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Shule gani Ada Elf 45?..Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi