Limeuliza Jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu, nimeshangaa

Za buku 5 zipo pia.
 
Malaria; ni aya ipi inaamrisha mazoezi?
 
Malaria; ni aya ipi inaamrisha mazoezi?
Mtume Muhammad (SAW) alisema:

"Muumin mwenye nguvu ni bora na mpendwa zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko muumin dhaifu, ingawa wote wana kheri."
(Sahih Muslim, Hadithi 2664)
Hii inahimiza Waislamu kudumisha afya zao, ikiwemo kupitia mazoezi ya mwili ili kuwa wenye nguvu kimwili na kiimani.

2. Kujifunza michezo yenye manufaa

Mtume (SAW) pia alihimiza kujifunza michezo kama kupiga mishale, kupanda farasi, na kuogelea. Kwa mfano:

"Mfanyeni mtoto wako aogelee, apige mishale, na apande farasi."
(Hadithi hii imepokewa kwa mapokezi dhaifu, lakini inasisitiza umuhimu wa michezo yenye manufaa.)
 
Ha ha ha! Kupiga mishale; huo sasa ukora. Noted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…