brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Unauhakika hawana HIV?Hawa wanaojiita mastaa bongo, akipata HIV mmoja tu wataondoka wote.
Kama kile kijiwe cha MANGO GARDEN kilivowapukutusha!Hawa wanaojiita mastaa bongo, akipata HIV mmoja tu wataondoka wote.
umeongea kweli mkuu anasura ya kuchoka haraka nilimwambia mtu hivyo kidogo anitoboe machoHuyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
za mchina siyo zakeKucha za Lina
Hiyo ni siri ya mtu binafsiUnauhakika hawana HIV?
[emoji1]umeongea kweli mkuu anasura ya kuchoka haraka nilimwambia mtu hivyo kidogo anitoboe macho
yawezekana mkuu atulie tu[emoji1]
Nadhani watu huwa hivo kutokana ba stail ya maisha
Yaan alivo mzingua Amini niliumia kama ndo mimiHuyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
Zamu ya manfongo [emoji28]Yule wanayemwita madam inaonyesha vijana huwa wanajiweka tu pale akisha wapa kiki wanamkimbia sijui sasa hiv itakuwa zamu ya nani tena kupewa kiki?
Kiliwapukutisha wakina nani mkuuKama kile kijiwe cha MANGO GARDEN kilivowapukutusha!