PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Man fongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Man fongo
Mbona hiyo sasa ni past tense mkuu, zile njugu zinastiri sana.Hawa wanaojiita mastaa bongo, akipata HIV mmoja tu wataondoka wote.
Wewe una uhakika wana HIV?Unauhakika hawana HIV?
Hawa wasanii wa Bongo hovyo kabisa aiseeeeHalafu keshokutwa ndio wanakua Mabalozi wa Mapambano dhidi ya UKIMWI
wenyewe wanasema dawa ya moto ni motoAnalipa kisas kwa kuvua chupi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwamba hawana, ARV zinasaidiaHawa wanaojiita mastaa bongo, akipata HIV mmoja tu wataondoka wote.
Swali juu ya swali. Wewe una uhakika hawana HIV?Wewe una uhakika wana HIV?
Lina ana ukikongwe gani?yey n wema nan kikongwe?[emoji48][emoji48][emoji48]Mmmh
Labda walipiga picha tuu
Idriss naye anapenda vikongwe!!!
*kama ndio kweli lakini
Jmani kwn sura yake ikoje?Huyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
[emoji28][emoji28]inabid aoge kwanza hahaZamu ya manfongo [emoji28]
What goes around comes all ze way back aroundYaan alivo mzingua Amini niliumia kama ndo mimi
Kwa sababu Amini alimkubali kweli. Labda ndo maisha yaliharibikia hapo
hela zinamfanya avutie lakini ana sura ngumu lina kama jiwe la kusugulia makenya akiewnda kijijini aishi huko kwishneiHuyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
Zamu ya man Congo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yule wanayemwita madam inaonyesha vijana huwa wanajiweka tu pale akisha wapa kiki wanamkimbia sijui sasa hiv itakuwa zamu ya nani tena kupewa kiki?
Nimecheka sana.Analipa kisas kwa kuvua chupi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua kuchana balaaaUshamba tu, Amini alimpenda Linah kutoka rohoni yaani kama Linah si star, maana kipindi hicho hakuwa juu kama sasa, huyu bi dada umaarufu ukamlevya akaingia king kuwa star lazima avuliwe chupi hovyo na ma star wa kiume, sasa Amini ameoa analea familia bila kokoro yeye kabaki kuwa golikipa wa mbo..o kila inayokuja mbele yake anadaka tu hajiangalii sura ilivyo nzito kama uji wa jana, akija kustuka kina amini wanamwambia skamoo bila kujua ni Linah demu wake wa zamani.