[emoji28][emoji28]umeongea kweli mkuu anasura ya kuchoka haraka nilimwambia mtu hivyo kidogo anitoboe macho
Zimeisha sasa hiv mtangazajiZile million 500 bado zipo
Ushamba tu, Amini alimpenda Linah kutoka rohoni yaani kama Linah si star, maana kipindi hicho hakuwa juu kama sasa, huyu bi dada umaarufu ukamlevya akaingia king kuwa star lazima avuliwe chupi hovyo na ma star wa kiume, sasa Amini ameoa analea familia bila kokoro yeye kabaki kuwa golikipa wa mbo..o kila inayokuja mbele yake anadaka tu hajiangalii sura ilivyo nzito kama uji wa jana, akija kustuka kina amini wanamwambia skamoo bila kujua ni Linah demu wake wa zamani.Yaan alivo mzingua Amini niliumia kama ndo mimi
Kwa sababu Amini alimkubali kweli. Labda ndo maisha yaliharibikia hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] juz nilisikia wanamshambulia wanasema kijana bado hajajua kuoga!Zamu ya manfongo [emoji28]
Ushamba tu, Amini alimpenda Linah kutoka rohoni yaani kama Linah si star, maana kipindi hicho hakuwa juu kama sasa, huyu bi dada umaarufu ukamlevya akaingia king kuwa star lazima avuliwe chupi hovyo na ma star wa kiume, sasa Amini ameoa analea familia bila kokoro yeye kabaki kuwa golikipa wa mbo..o kila inayokuja mbele yake anadaka tu hajiangalii sura ilivyo nzito kama uji wa jana, akija kustuka kina amini wanamwambia skamoo bila kujua ni Linah demu wake wa zamani.
Bada ya kuachana na amin akawa na nagar mkaka mmoja wa mjini wamekaa miaka 4 kwenye uchumba jamaa akamuacha na sasa hiv ameoa yaan uyo ana laana ya amini na sijui kama ataolewa amin alimpenda sana na yy ndo alimwacha mwenzieUshamba tu, Amini alimpenda Linah kutoka rohoni yaani kama Linah si star, maana kipindi hicho hakuwa juu kama sasa, huyu bi dada umaarufu ukamlevya akaingia king kuwa star lazima avuliwe chupi hovyo na ma star wa kiume, sasa Amini ameoa analea familia bila kokoro yeye kabaki kuwa golikipa wa mbo..o kila inayokuja mbele yake anadaka tu hajiangalii sura ilivyo nzito kama uji wa jana, akija kustuka kina amini wanamwambia skamoo bila kujua ni Linah demu wake wa zamani.
Wanamuonea wivu manfongo wa watu [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] juz nilisikia wanamshambulia wanasema kijana bado hajajua kuoga!
Yes mkuu laana ya amini mwenzie alijitoa kwake kwa kila kitu akamuona hafaiLaana ya amini,teh teh
Zamu ya man fongoYule wanayemwita madam inaonyesha vijana huwa wanajiweka tu pale akisha wapa kiki wanamkimbia sijui sasa hiv itakuwa zamu ya nani tena kupewa kiki?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanabadilisha ujuzi na size..
Zimeshaisha sasa hivi mtangazajiKwani zile 500M hazijaisha tu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamu ya man fongo
Hawa wanaojiita mastaa bongo, akipata HIV mmoja tu wataondoka wote.
Yule wanayemwita madam inaonyesha vijana huwa wanajiweka tu pale akisha wapa kiki wanamkimbia sijui sasa hiv itakuwa zamu ya nani tena kupewa kiki?