Linah amchukua Idris kulipa kisasi kwa Wema

Huyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
Jmani kwn sura yake ikoje?
 
Huyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
hela zinamfanya avutie lakini ana sura ngumu lina kama jiwe la kusugulia makenya akiewnda kijijini aishi huko kwishnei
 
Huwa napata sana mashaka napokuwa nasoma thread zako Mkuu, labda leo uniambie hivi we ni me Or
 
Reactions: ovi
Kuna tetesi eti manfongo sijui nini nini....
Ebu ngoja warumi aje
Huyo uliyemtaja nahisi ana ID nyingi sana humu JF, kama sio 3 basi 4. Chunguza uandishi wa waleta thread hapa wanauandishi fulani kama wake.
 
Unajua kuchana balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…