Kwani HIV Ni kitu cha ajabu Sana?Wewe una uhakika wana HIV?
hivi lina si mzee kabisa huyu!!?Lina ana ukikongwe gani?yey n wema nan kikongwe?[emoji48][emoji48][emoji48]
Haahahha mnamuonea tuhivi lina si mzee kabisa huyu!!?
kama haunq ni cha ajabu ila kama unacho sio cha ajabuKwani HIV Ni kitu cha ajabu Sana?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hela zinamfanya avutie lakini ana sura ngumu lina kama jiwe la kusugulia makenya akiewnda kijijini aishi huko kwishnei
Hii cheni kuna wengine wanapumulia ARV's ila kuna wakati huwa zinadunda wanapauka kwelikweli...Kwa wapenzi wa muziki wa dansi tunakumbuka ile cheni ya Diana Aston Villa na kina Banza Stone.
Huyu mdudu akiingia Bongo Flava/Movie itakuwa shida. Nafikiri na Tasnia yenyewe itaishia hapo maana tutapoteza wasanii wengi kwa pamoja.
Jamani Amini nae alikuwa anampiga sana dada wa watu (sijui ndio alikuwa anampigia huko kudanga?)Yes mkuu laana ya amini mwenzie alijitoa kwake kwa kila kitu akamuona hafai
Mhhhhhh kaka yangu nawe umooooo [emoji16][emoji16][emoji16]Kama kile kijiwe cha MANGO GARDEN kilivowapukutusha!
Kucha za Lina
Aiseee ngoja nimlie misele nizekee nae ,si unajua yaliyopita si ndwele [emoji38][emoji38]Yule wanayemwita madam inaonyesha vijana huwa wanajiweka tu pale akisha wapa kiki wanamkimbia sijui sasa hiv itakuwa zamu ya nani tena kupewa kiki?
Alikuwa anampiga kwa sababu ya umalaya wake, Amini alimpenda sana Linah, mpaka akajipa haki ya kumtunza na kumlinda, ila bi dada ndio umaarufu ukamwambia lazima wengi wadumbukie hapo kwenye shimo, mwenzao Besta alijithamini akajimilikisha sasa katulia acha hawa wajidanganye na SHABU bila kujua hakuna shabu ya uso.Jamani Amini nae alikuwa anampiga sana dada wa watu (sijui ndio alikuwa anampigia huko kudanga?)
Ila penzi la Amini na Linah lilikuwa motroooo [emoji39][emoji39][emoji39],dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu utawezana nae kweli ana team yake huko kwenye mitandao ya kijamii siku akipost kitu chenye kuashiria mmetofautiana nae team yake watakushukia na matusi kama mvua ila kuhusu kiki hiyo utaipata!Aiseee ngoja nimlie misele nizekee nae ,si unajua yaliyopita si ndwele [emoji38][emoji38]
Zamu ya Man FongoYule wanayemwita madam inaonyesha vijana huwa wanajiweka tu pale akisha wapa kiki wanamkimbia sijui sasa hiv itakuwa zamu ya nani tena kupewa kiki?
I see u ushimen....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wasanii wa Bongo hovyo kabisa aiseeee