Linah amchukua Idris kulipa kisasi kwa Wema

Hii cheni kuna wengine wanapumulia ARV's ila kuna wakati huwa zinadunda wanapauka kwelikweli...
Mfano yule msanii pendwa wa enzi hizo aliyezaa na Marehemu Diana.

Hadi nimemkumbuka kipenzi changu Banza Stone [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] don't tell me...
Jamani Amini nae alikuwa anampiga sana dada wa watu (sijui ndio alikuwa anampigia huko kudanga?)

Ila penzi la Amini na Linah lilikuwa motroooo [emoji39][emoji39][emoji39],dah!
linah kimalaya hiki!
 
kibolo cha mzee wa bba ni kama mwiko wa ugalu, kinaingia kila sufuria...wawe makini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii cheni kuna wengine wanapumulia ARV's ila kuna wakati huwa zinadunda wanapauka kwelikweli...
Mfano yule msanii pendwa wa enzi hizo aliyezaa na Marehemu Diana.

Hadi nimemkumbuka kipenzi changu Banza Stone [emoji24][emoji24][emoji24]
Steve Nyerere pia alikuwa wa Diana aston villa,kweli ARV Zinaboost
 
Ha Ha Ha Yan dudu za wanawake zingekua zinaongea kuna dudu za wanawake zingeongea mpaka kirusi.. maana si kwa kuzichanganya
 
Huyu Linah na hii sura yake asipo angalia atakuwa na wapenzi tu mwisho wa siku akose mume, angetulia na Amini sasa angekuwa anaishi kama mke wa mtu na si mpenzi tu, sura yake haichelewi kuzeeka maana.!
Huyu Lina hana kabisa mvuto,labda alowekwe kama mwezi hivi
 
Hivi mtu anaweza kumchukua mtu mwingine kirahisi rahisi hivyo kwa ajili ya kulipiza kisasi kwa mwingine?

Ina maana Idris ni kama kikombe? Anachukuliwa tu?
 
Hivi mtu anaweza kumchukua mtu mwingine kirahisi rahisi hivyo kwa ajili ya kulipiza kisasi kwa mwingine?

Ina maana Idris ni kama kikombe? Anachukuliwa tu?

Mawazo yako mengi huwa ni kama yangu!

Maana nami huwa nawaza hivyo hivyo.

Watu wengine wanavyoongea utadhani huyo jamaa yeye hana usemi wowote...hana uamuzi wowote...yaani ni kama msukule flani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…