Linahitajika container la 20 ft

Linahitajika container la 20 ft

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau naitaji container 20 FT hata ikiwa used. Offer yangu ni 1.2 M.

Iwe Dar na documenation zote za umiliki muuzaji awe nazo.

Kama unayo nicheck kwa 0759 819 819.
 
Container 20 ft 2.5 m,mwaka jana nilitafuta sanakwa 1.8 m sikulipata,kila mmoja alishia 2.5,ebu jaribu kutafuta mabibo nyuma ya chuo cha nit kuna macontainer kibao tu.
 
container 20 ft 2.5 m,mwaka jana nilitafuta sanakwa 1.8 m sikulipata,kila mmoja alishia 2.5,ebu jaribu kutafuta mabibo nyuma ya chuo cha nit kuna macontainer kibao tu
Ahsante sana mkuu,nitafanya hivyo.
 
Kwani tofauti yake ikoje mkuu
Tofauti ipo kwenye urefu
images%20(40).jpg
 
Asante kwa kunielimisha mkuu, Bei zake je zikoje
Bei inategemea unahitaji kwa ajili ya kazi gani

Kusafirishia mzigo :hapa unahitaji contena zuri na full document



Kwa matumizi kama stoo duka na nk

Hapa sio lazima liwe zuri sana
 
Bei inategemea unahitaji kwa ajili ya kazi gani

Kusafirishia mzigo :hapa unahitaji contena zuri na full document



Kwa matumizi kama stoo duka na nk

Hapa sio lazima liwe zuri sana
Kwa matumizi ya kawaida siyo usafirishaji
 
Back
Top Bottom