Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 855
pole mshkaji wangu
pole kaka
uyo si mie
1. si mwaminifu
2.mchoyo
3.hana huruma
4.akili zake /upeo mfup sana
6.ana uchu na mali
8.han ukike
maoni;
kimbia
tafuta anayekufaa km mke ,kuzaa na mtu si lazim awe mke wako
take ya time thk,swallow pain n u wl move on sweetie pole sana chalii angu!
Ahaaa ahaaa yaani atoke ndukiumemaliza wangu,chalii akimbie bila kugeuka nyuma
Ahaaa ahaaa yaani atoke nduki
umemaliza wangu,chalii akimbie bila kugeuka nyuma
Je huyo ni mkeo au mmekaa kama mtu na hawara yake?
Kama hamjaoana kindoa, huna haki ya kutaka ushauri. Tukikupa ushauri tutakuwa tuna changania uzinifu na kuzini kumekatazwa na vitabu vyote na hata wasio na vitabu wana maadili ya kupinga uzinifu.
Wewe unazini halafu mwenzako akitaka kuzini na unae zini nae unakasirika. Unashangaza. Kasirika kwa mkeo au mumeo wa ndoa tu.
Ilikuwa tufunge ndoa kanisani 2006 lakini aliyetibua mambo yote ni huyo kijana tulipanga nae nyumba moja. Ikabidi niwaombe wazazi wasubiri mpaka nitakapo rudi masomoni na kuangalia watamalizia wapi mechi yao. Kwa sababu ilinibidi nimweleze yule kijana lakini alikataa nikamwonyesha ushahidi wote niliokuwa nao. Baada ya kuona hivyo alihama pale akahamia kwa ndugu zake na sasa hivi ninasikia ameoa.
Umeishi nae kwa muda wa miaka 3 hujaweka msimamo wa kufunga nae ndoa, ndio maana ameamua kufanya mambo yake bila kukushirikisha
Kama ni kimila nimemaliza kulipa mahari, na tunajua ndoa inajengwa na amani upendo, kushauriana na kuaminiana, sio kubariki ndoa tu mradi hapana. Na kwa mimi binfsi mawazo yangu yalikuwa ni mke lakini baada ya kuona huu ubinafsi linanikera sana kuhofia maisha ya hapo mbele. Nimelifikiria sana kwa upana lakini jibu sipati nikafikiri labda kuna mtu alisha kumbana na hali kama hii, nilitaka kujua ni njia gani alitumia kumaliza huu mgogoro. Na kwao wanajua ya kua ni mke wangu, na ndugu zake wapo karibu na mimi sana hasa dada zake na mama yake. Ilifikia mahali nikamweleza dada yake hilo swala akawa anamwombea msamaha eti nimsamehe ni shetani ameingia kati. Akasema nitakapo rudi tutakaa chini tuyasungumze. Ila hayo mambo ya nyumba dada yake anasema ni yeye anatakiwa ayajibu mwenyewe yeye haya muhusu kwa sababu hataki kuingilia.