POLE SANA Fastfasta, HUYU MWANAMKE AMEKUONESHA MAPEMA TABIA ZAKE, KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKO HAPO JUU HUYO MWANAMKE TABIA ALIZONANO NI TAMAA, UBINAFSI, SI MWAMINIFU, UCHOYO,DHARAU (KIBAYA ZAIDI KWA WAZAZI WAKO WALIOKUZAA NA KUKULEA WEWE), MSIRI KWA MAMBO YANAYOTAKIWA MKUBALIANE NA KUSHAURIANA. SASA JE WEWE BINAFSI KUTOKA NDANI YA MOYO WAKO UPO TAYARI KUISHI NAYE MWANAMKE WA AINA HII MPAKA KIFO KITAKAPOWATENGANISHA??,,,
JE BADO UNAMPENDA PAMOJA NA HAYO MAPUNGUFU YAKE ALIOKUONESHA??, UPO TAYARI KUYABEBA?,
UKIPATA MAJIBU YA HAYO MASWALI YA HAPO JUU BASI UTAAMUA MWENYEWE KWA HIARI YAKO KUENDELEA KUISHI NAYE? AU KUMWACHA?? NINGEPENDA UAMUZI WA HILI TATIZO LAKO UTOKE NDANI YA MOYONI MWAKO NA AKILINI MWAKOU UKIZINGATIA MAPENZI NI WATU WAWILI TU.
AMEFANYA LA MAANA SANA KUKUONESHA MAPEMA MAPUNGUFU YAKE ILI UWE NA UHURU WA KUAMUA KUENDELEA KUYABEBA AU KUACHANA NAYE.
POLE SANA ,ILA FAHAMU KUWA SIYO KILA MWANAMKE ANAFAA KUWA MKE, VIVYO HIVYO SI KILA MWANAUME ANAFAA KUWA MUME.