Linda na Zari nani mzuri

Linda na Zari nani mzuri

Sioni hata point ya kuwalinganisha...linda ni jimama zima ila kutwa kwenye mitandao kushindana na watoto na kutukana!!??linda na zari labda wanafanana umri na mambo yao ya kitoto japo linda kazidi sana..mtu una miaka zaidi ya 40 lkn akili ya teenager !!!!hatari sana
 
Wote ni wahangaikaji na wana watoto na ni wazuri .nani mzuri zaidi ya mwenzie

Hahahaaa...wote wameenda age lakini hawaoni ila linda ndo kiboko yaani huyu bibi simwelewagi Kabisa...wenzie wanaongezeka umri sambamba na busara na hekima ila yeye ni viceversa umri unaongezeka inversely propotion na hekima...hii ni laana kubwa kwa kweli
 
Picha zao ziko wapi tuwatathmini
 
usilinganishe linda na zari..zari ni next level ww
 
Zari the boss lady
 

Attachments

  • 1422867282506.jpg
    1422867282506.jpg
    45.1 KB · Views: 1,056
  • 1422867316826.jpg
    1422867316826.jpg
    53.2 KB · Views: 1,008
Linda
Source:matola
 

Attachments

  • 1422867390406.jpg
    1422867390406.jpg
    111.5 KB · Views: 1,019
Zari the boss lady
 

Attachments

  • 1422868557148.jpg
    1422868557148.jpg
    50.2 KB · Views: 892
  • 1422868578860.jpg
    1422868578860.jpg
    52.1 KB · Views: 881
  • 1422868595303.jpg
    1422868595303.jpg
    38 KB · Views: 884
  • 1422868611544.jpg
    1422868611544.jpg
    39.8 KB · Views: 874
  • 1422868645358.jpg
    1422868645358.jpg
    35.7 KB · Views: 891
Linda ndio yule alikuwa ansema kuwa hata president wenu nishampa mautamu na sikutaka kuzaa naye tu?
 
Mzuri nan!Ili iweje....mzuri mbutananga na dougiemaster 16
 
Back
Top Bottom