Linda na Zari nani mzuri

Linda na Zari nani mzuri

Mafisadi wakitushinda tuna amua kujadili vitu vya kipuzi ili siku ziende. By the way who is Linda and Zari?
 
ngoja pashkuna la kizaramo mange lione hii thread, ataumia wala hatapata usingizi maana zari na linda wanamfanya hajielewi, anawachukia dont know why, kila kukicha anawachamba kwa sababu anaona wamemzidi kwa mengi

Eti pashkuna!

Kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiii
 
Wema anavyosubiri kwa Zari,
ndivyo Zari nae anavyosubiri kwa Linda!!
 
Linda hajanishawish bado ofcourse she beautiful bt hafikii uzuri wa zari hasa usoni, zari ukimtizama vzur utagundua ana uzuri wa kipee sana, nlipofatilia na kugundua kuwa ni mchanganyiko wa mhindi, msomali, burundi na uganda ndo nikapata jibu

Linda ni zaidi ukubali ukataeee
 
Ukiangalia Tofauti ya umri wao Linda amemzidi zari...nampa credit Linda mpaka 42yrs still anamvuto mwanaume yeyote Yule atamtamani!
 
Sasa si mngeweka picha zao hapa tulinganishe...?!
 
Aliyeweka hivi thread all he or she needs is attention. U got it whoever you are
 
humu wengi akili hazimo mtaishia kuwasifia wenzenu na kubaki na takataka zenu
 
Wote ni used material uzuri anayeujua ni aliyetangulia kuwafungua kizazi.
 
Zari is exclusive! Zari rocks! Sura nzuriiiiiii kama an angel! Linda sura imechachamaa kizaramu!
Zari rocks!
 
Linda yupi mnamlinganisha hapa?kama Linda wa ATL Zari hampati yule Linda wa akina Richard wa BBA!ni moto wallah!pamoja na kuwa ni age mate wangu above 40s but you would be wipedout by her beuty!!!
 
Aliyeweka hivi thread all he or she needs is attention. U got it whoever you are

Mimi ni she .ila nimeweka kwa Sababu wote ni wazuri na I was just curious.Kuna mtu aliandika Zari mzuri ajabu
 
Back
Top Bottom