Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali.
Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi.
Ndugu wenye pumu, wanaovuta sigara au wenye magojwa mengine vilevile washauri.
Tatizo kuna siasa nyingi sana zinaingizwa kwenye hili lakini shauri hawa wakae kwa mwezi wakati wanasikilizia.
Mjue tu hata serikali inasubiri mpaka mtu aumwe ndiyo wajue vizuri cha kufanya.
Kwenye ugojwa huu ukipata mmoja kaambukiza watu wanne ambao huwajui. Rafiki yangu ambaye ni Dr na yuko kwenye hospitali za Corona kaniambia nishauri wazee wakae ndani na hatuna mashine za kusaidia kupumua Ventilators hivyo ukiwa na pumu ni mungu tu hakuna mashine za kusaidia.