Mkuu Mbavu 😂😂😂😂😂😂😂✋Kama wazee ndo hao wastaafu walioongezewa muda wa kufanya kazi, ambao wengi wao ndo victims wa corona, serikali inaweza ikaona ni a win win situation. Wanadai ela nyingi sana.
Comment yenye ukatiliKama wazee ndo hao wastaafu walioongezewa muda wa kufanya kazi, ambao wengi wao ndo victims wa corona, serikali inaweza ikaona ni a win win situation. Wanadai ela nyingi sana.
KivipiComment yenye ukatili
Kwa hawa wachunga ng'ombe wanaweza kuwa wanachekelea chooniKivipi
Kenya magari ya washawasha na zimamoto yanapuliza sanitizer mitaani, sisi tunagombania takwimu za wagonjwa, hovyo kabisa, nitanawa na upepo nao nitaunawisha na Nanini? Tunaambiwa inakaa hewani saa nane, mtu akipiga chafya ununio upepo ukapuliza anaweza ugua mtu wa bagamoyoMimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali.
Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi.
Ndugu wenye pumu, wanaovuta sigara au wenye magojwa mengine vilevile washauri.
Tatizo kuna siasa nyingi sana zinaingizwa kwenye hili lakini shauri hawa wakae kwa mwezi wakati wanasikilizia.
Mjue tu hata serikali inasubiri mpaka mtu aumwe ndiyo wajue vizuri cha kufanya.
Kwenye ugojwa huu ukipata mmoja kaambukiza watu wanne ambao huwajui. Rafiki yangu ambaye ni Dr na yuko kwenye hospitali za Corona kaniambia nishauri wazee wakae ndani na hatuna mashine za kusaidia kupumua Ventilators hivyo ukiwa na pumu ni mungu tu hakuna mashine za kusaidia.
Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali.
Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi.
Ndugu wenye pumu, wanaovuta sigara au wenye magojwa mengine vilevile washauri.
Tatizo kuna siasa nyingi sana zinaingizwa kwenye hili lakini shauri hawa wakae kwa mwezi wakati wanasikilizia.
Mjue tu hata serikali inasubiri mpaka mtu aumwe ndiyo wajue vizuri cha kufanya.
Kwenye ugojwa huu ukipata mmoja kaambukiza watu wanne ambao huwajui. Rafiki yangu ambaye ni Dr na yuko kwenye hospitali za Corona kaniambia nishauri wazee wakae ndani na hatuna mashine za kusaidia kupumua Ventilators hivyo ukiwa na pumu ni mungu tu hakuna mashine za kusaidia.
Tofautisha wazee wa ulaya na Africa hivi vyakwetu vinaruka na info usiku balaa, Kuna kibabu kilikufa kufika mochwari kikapiga chafya wakakirudisha nyumbani Hadi Leo kizima kinaitwa badokufaKama wazee ndo hao wastaafu walioongezewa muda wa kufanya kazi, ambao wengi wao ndo victims wa corona, serikali inaweza ikaona ni a win win situation. Wanadai ela nyingi sana.
Soma intensively ulichoandikaKivipi
Sasa kama hatua hazionyeshi watu kuwa serious, unadhani ni kundi gani litaathirika zaidi kama sio hao wazee wastaafu?Soma intensively ulichoandika
Upo sahihiSasa kama hatua hazionyeshi watu kuwa serious, unadhani ni kundi gani litaathirika zaidi kama sio hao wazee wastaafu?
Haya matusi nafikiri yanawaletea nafuu CHADEMA na tume guru ya uchaguzi.Kwa hawa wachunga ng'ombe wanaweza kuwa wanachekelea chooni