Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

Duh yaani tunazika watu wengi sana kwa ajali ya kugongana uso kwa uso na nyingi zikihusisha maroli lakini nobody cares government yenyewe ni kutoa rambirambi tu
 
Sio kwa ubaya ila nauliza dereva wa hiace kaponaje hapo ilihali ilikuwa ni head to head collission? Naona hapo mwisho wanasema amekamatwa kwa ajili ya mahojiano. HOW?
Hapo mbona mahesabu tu mshikaji. Yaani ile unaona dude limeegemea kwenu we unaenda upande wa lenyewe. Kitambo zipigane busu we uko zako mtaroni unazicheki tu kama mechi ya simba na yanga yani
 
Hilo tuta halitoruhusu gari la nyuma kulipita gari la mbele over take. Hiyo hali inatakiwa tu pale penye njia nne na kuendelea
 
Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba Kiini hasa cha mkasa huu ni uduni wa miundombinu ya barabara hapa Tanzania. Barabara ni nyembamba sana, 'lanes' za kupita magari hazijatenganishwa kwa matuta, kingo au magingi
Njia za London ni nyembamba kuliko hizi zetu na bado ni sehem salama sana kuendesha gari ,ukienda hapo Comoro ndio kabisa sio barabara ni njia na bado wako salama
Chanzo kikuu Cha ajali ni uzembe wa drivers kwa tz
Kwa miundo mbinu iliyopo drivers wakiamua pawe na zero accident basi itawezekana
 
Mungu awalaze mahala pema wanapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…