Lindi High School

Lindi High School

Hahahahaha torabora bweni la mafaza. Dah ticha mng'umba ana biti huyo ila yupo gud sana. Big up kwa wazee wa kuzamia sherehe Kagwa. Toxic, ospere, mangi yoka, zero brain. Long tym jameni.
 
ha ha ha! Nimekumbuka mbali sana, we ulikua tolaboro au bruclean?, kumbuka baba kwame?, baba Dame...? Nilimalimaliza pale 2004. Bonge ya camp

Mkuu khamsa mie nilikuwa torabora na kina ludo, urio, kigoma, tizo, khalid, kashamba, gerey, muunguja, mataba, au mataba alikuwa bruclyn?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha torabora bweni la mafaza. Dah ticha mng'umba ana biti huyo ila yupo gud sana. Big up kwa wazee wa kuzamia sherehe Kagwa. Toxic, ospere, mangi yoka, zero brain. Long tym jameni.

Dah, hawa cwakumbuki, mwaka gan hii?
 
2005-2007. Waanzilishi wa jina la sobibor camp kwenye lile bweni karibu na dining. Dulle alipata headach na hilo bweni lilijaa vichaa.

Mwaka huo mie niko udsm,
 
Halafu Kisanji alifariki mwaka jana mwishoni alizikwa Dar
 
Wapi Erick Mnene, Tizo the Killer, Jamali Juma aka waKishua, Masime, Kashamba na wengine kibao wazee Torabora camp 2002-2004.
 
daah huyu tarimo head-master wa sasa lindi high school alikuwa second master mahiwa sec,,,af akawa ananibania hata kunichagua kusahisha mitihani ya mock,,,nikaamua kuacha kazi kumbe ndio alikuwa ananipa safari ya mamtoni ha ha ha
 
Iko lindi town, nitakupm namba zake

Ntashkuru sana mkuu vp we bado uko lindi..?? Nimeimiss sana ming'oko, maji ya chumvi na ule wimbo wetu wa Lindi secondary i wont forget dat experience.. Asee jus PM namba yke ntashkuru sana! (Bahia)
 
Wapi Erick Mnene, Tizo the Killer, Jamali Juma aka waKishua, Masime, Kashamba na wengine kibao wazee Torabora camp 2002-2004.

Mnene alimaliza ud cjui yuko wapi, tizo atakuwa askari, masime alikuwa chuo, cjui kapangiwa wapi, kashamba cjui yuko wapi, jamal yuko saut mtwara.
 
Daah kama ulimudu maisha ya lindi we mwanaume
 
daah huyu tarimo head-master wa sasa lindi high school alikuwa second master mahiwa sec,,,af akawa ananibania hata kunichagua kusahisha mitihani ya mock,,,nikaamua kuacha kazi kumbe ndio alikuwa ananipa safari ya mamtoni ha ha ha

Mkuu uko wapi
 
Mkuu wewe ulikuwa mwalimu wa shule gani?
 
Back
Top Bottom