UjiLindi ,masasi ,mtwara na mikoa yote ya kusini kote pa hovyo .
Ndio siji.
Sijajua unatafuta mkusanyiko wa watu kwenye sehemu za hadhara au kelele kama za Kariakoo?Lindi ,masasi ,mtwara na mikoa yote ya kusini kote pa hovyo .
Sehemu ya masikini na mafukara mrembo utamtoa wapi? Hata kuoga hawajui! Tatizo la ulozi!Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Lindi Lindi !Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Itoe masasiLindi, Masasi, Mtwara na mikoa yote ya kusini kote pa hovyo .
Uko sahihi me nafanya kazi Lindi ila ikifika ijumaa nakwenda masasi town narudi kazini jumatatu asubuhi masasi napapenda kibiashara na mishe mishe almost pako kana bugurun fulani hvLindi pamepoa sana is cool area
Hapo sehemu ambayo huwa naenda kutuliza Akili inaitwa Paris ni eneo zuri Sana
Usalama Lindi ni 99%
Ushoga upo
Kujiuza ni kwa Sana wana Entertain ngono guest house kila mahala.
Personally napenda miji Kama hiyo iliyotulia .
Then wakazi wengi hukaa nje ya mji huwa wanakuja mjini kufanya business na kuondoka.