Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Hakika maisha Kama ulaya LINDI binafsi I don't like congestion areas , kwangu Lindi pananifaa Sana.
Ni ngumu mno kusikia watu wakiuana Lindi.. Mimi Nina miaka minne Lindi sijawahi kuona watu wakirushiana hata ngumi.. Huku hata mtu kafumaniwa na mke wa mtu yanaisha Kwa amani sanasana watu watataka hela tu... Sio Kanda nyingine mtu hata demu ukimchukulia anakumaliza
 
Sijajua unatafuta mkusanyiko wa watu kwenye sehemu za hadhara au kelele kama za Kariakoo?

Kama sehemu za kuspend zipo nyingi tu japo sio kama jijini, pesa yako tu. Na kusehemu huingii kama pesa yako ya hapa na pale.
Mtwara pako poa sana maeneo yakujichanganya ni mengi ila Lindi kumepoa sana kama sio Manispaa
 
Back
Top Bottom