Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi ni kweli pamepoaa,Mtwara pambee siku hizii.Ila kusini kukonyuma sanaaa umeskini ni mkubwa Sanaa.
 
Fungua hiyo code basi mzee
Sogea GRM Pamekaa kiofsa sana. Kitimoto, mbuzi choma and everything vipo. Mazaga ulimi wako na wepesi wako tu. Wepesi namaanisha pesa. Nipo k’masoko nazichanga, next week narudi lindi mc. Karibu lindi mji wa matumizi aka Paris.
 
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?

Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?

Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.

Nipo Lindi mjini
Labda huna hela za kutosha.
 
nimeongelea tu general mkuu. ukikamata kamoja ka kali kula hakohako. nenda ukakapime ukimwi na STDs hasa fanya culture kucheki herpes..maana ndio std's msala - incurable.
au ka utaona gharama tumia bati mwanzo mwisho.
Natumia bati tu mkuu
 
Back
Top Bottom