Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi pamepoa sana is cool area

Hapo sehemu ambayo huwa naenda kutuliza Akili inaitwa Paris ni eneo zuri Sana

Usalama Lindi ni 99%
Ushoga upo
Kujiuza ni kwa Sana wana Entertain ngono guest house kila mahala.

Personally napenda miji Kama hiyo iliyotulia .

Then wakazi wengi hukaa nje ya mji huwa wanakuja mjini kufanya business na kuondoka.
Wasichana wanao jiuza ni kuanzia age ipi? Hapo Paris Wapo?
 
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?

Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?

Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.

Nipo Lindi mjini
Fika masasi,lindi kumenyata.
 
Lindi kuchele
Pole mkuu ndo kusini kulivyo labda uende beach tu huko
 
yah warembo,misosi, hata wasanii wakubwa walikuwa wanaenda sana kipindi hicho....kwahyo kulikuwa kunachangamka....siunajua watu wakiwa wanatoka sehemu mbalimbali lazima kuwe hot
Ahaa sehemu za hivyo Mimi sizitaki sana nataka sehemu wanazo kaa wenyeji kama Lindi. Sio unaenda kivinje huko au masasi halafu unakutana na mademu wametoka kinondoni wakati na wewe mwenyewe umetoka kinondoni
 
Back
Top Bottom