cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kulikua na haja ya kusema Ushoga upo? Ili iwejee?Lindi pamepoa sana is cool area
Hapo sehemu ambayo huwa naenda kutuliza Akili inaitwa Paris ni eneo zuri Sana
Usalama Lindi ni 99%
Ushoga upo
Kujiuza ni kwa Sana wana Entertain ngono guest house kila mahala.
Personally napenda miji Kama hiyo iliyotulia .
Then wakazi wengi hukaa nje ya mji huwa wanakuja mjini kufanya business na kuondoka.
Kwani wapi haupoo?