Uko wana malizana kwa kutogana, ndiyo maana uko kufanya jambo la maendeleo ni ngumu, Sehemu wanayoishi Waislamu wengi hakuna maendeleo ya watu kupiga atua. Yani ukifungua Biashara ata ya Duka, Chips wana ziwangia na watabia ya kuroga usipige atua.
huku hata huo uchawi wa namna hiyo hamna,,,,!!!!
Suala la maendeleo kwa Tanzania hii sio suala la uislamu au dini nyingine, ni suala la kitaifa, hakuna uhusiano wa maendeleo na dini na kama upo kama mnavyodai ninyi msio waislamu basi tuangalie maisha ya waarabu(ambao kwa asilimia kubwa ni waislamu) na wasiokuwa waarabu (bila kujali ni wadini ipi mfano wa Buddha, wakristo, wahindu n.k) wepi ni masikini kuzidi wengine, kwa mujibu wa maelezo ya kitakwimu na kusikia kutoka kwa wenye uzoefu ni kuwa wananchi wengi wa nchi za kiarabu (ukiachana na nchi zilizoathiriwa na vita na machafuko) ni aidha matajiri au wana uwezo mkubwa kiuchumi na kifedha kuliko wazungu (ambao kwa asilimia kubwa ni wakristo) na wengineo.
Haya turudi tz kwenye top ten ya matajiri wa Tanzania angalia uwiano wa matajiri waislamu na wakristo afu jibu baki nalo.
Pia hata mikoa hali ni hiyohiyo kama utafanya utafiti wa kweli.
Mi nakukumbusha tu na sikufundishi, ukiwa unapinga hoja kama hizi usilete maneno ya kijinga kama hauna hoja ya msingi, kuliko kujifanya mjuaji ilhali kichwa chako hakina uwezo wa kufikiri vizuri!!!
Halafu kaa ukijua kuwa jamii yoyote ile inayowekeza fikra za kimaendeleo kwenye ukabila na Udini huwa haina dalili za maendeleo na itatake so long kuendelea, kwa sababu watu wa jamii husika hawawazi kukabiliana na changamoto zinazowakabili kwa upana bila kuhusisha manufaa binafsi ya dini zao au makabila yao, na hili ndio tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu kiuhalisia.
Naomba kuwasilisha!