Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Ukanda huo ndio asili yao. Jichanganye wakuchape jini
Mjinga wewe, huku hakuna mtu atakaa akamtupia mwingine jini, watu wanaishi kwa amani kuliko sehemu yoyote ile hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, yaani huku unaweza kuacha kila kitu chako nje ya nyumba na ukakikuta baada ya machweo na pia unaweza kutembea kutoka sehemu moja hadi nyingine bila wasiwasi na uoga.
 
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?

Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?

Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.

Nipo Lindi mjini
Nenda Masasi Ntwara nako ni kama Lindi
 
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?

Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?

Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.

Nipo Lindi mjini
Uislam na kutosoma kwa wananchi ndicho kinachowaangusha wala panya wale. Lindi ni sawa na Tanga, Zanzibar, Pemba, Pwani, Mtwara, Tabora na Kigoma. Wanaume hawapendi kufanya kazi, wao ni kula, kulała, na kushinda misikitini na migahawani haswa vijiwenii wakicheza bao, wataendelea lini kwa style hii ya maisha? Watoto wakienda shule wanagombezwa, mzazi anataka mtoto aende madrasa ili akajifunze Kiarab kisicho na faida maishani mwake.
 
Mjinga wewe, huku hakuna mtu atakaa akamtupia mwingine jini, watu wanaishi kwa amani kuliko sehemu yoyote ile hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, yaani huku unaweza kuacha kila kitu chako nje ya nyumba na ukakikuta baada ya machweo na pia unaweza kutembea kutoka sehemu moja hadi nyingine bila wasiwasi na uoga.
Ndio uchawi huo
 
Ni ngumu mno kusikia watu wakiuana Lindi.. Mimi Nina miaka minne Lindi sijawahi kuona watu wakirushiana hata ngumi.. Huku hata mtu kafumaniwa na mke wa mtu yanaisha Kwa amani sanasana watu watataka hela tu... Sio Kanda nyingine mtu hata demu ukimchukulia anakuma
Uko wana malizana kwa kutogana, ndiyo maana uko kufanya jambo la maendeleo ni ngumu, Sehemu wanayoishi Waislamu wengi hakuna maendeleo ya watu kupiga atua. Yani ukifungua Biashara ata ya Duka, Chips wana ziwangia na watabia ya kuroga usipige atua.
 
Lindi ni kweli pamepoaa,Mtwara pambee siku hizii.Ila kusini kukonyuma sanaaa umeskini ni mkubwa Sanaa.
Mkuu sehemu yoyote ukiona wanaishi Waislam kupatikana maendeleo ni ngumu sana kwasababu wao wanapenda uswahili sana, Mfano utakuta Muislam swala tano kila wakati anaenda Msitini lakini akipata shida anaenda kwa Mganga wa kienyeji.
 
We jamaa ni mwanaume kabisa umefunga na safari mkoa hadi mkoa ila hujui jinsi ya kupata mwanamke mpaka uelekezwe na mwanaume mwenzako?

Are you for real?
Mimi sichukui malaya wanao jiuza mkuu. Natongoza wasichana wanao ishi kwao. Wale wasio na alama za weusi katikati ya mapaja wala michirizi kwenye mapaja. Age 18 to 20.

Huwezi kunielewa vizuri kwa sababu wewe hudeal na wasichana wa age hiyo. Una deal walio zaliwa miaka ya 80.

Hawa wa sasa hivi ni kizazi kipya mkuu. Ukienda na sera zako za miaka ya 90 utapigwa ngumi ya pua.
 
Miji ya pwani maendeleo ni kufuga majini na kuigiza swala tano. Huwezi kupata starehe ya maana mji wowote wa waswahili.
Acha kukalili.
Umewahi kufika Dar, Zanzibar, Tanga au Mtwara?
Yaani umeleta ng'ombe wako kwenye mnada wa Vigwaza, umerudi kwenu Hydom na mawazo kwamba miji yote ya pwani ina majini.
Huwezi kuifananisha miji ya pwani na kwenu Beleko, Mang'ola au Endasaki.
 
Su
Mkuu sehemu yoyote ukiona wanaishi Waislam kupatikana maendeleo ni ngumu sana kwasababu wao wanapenda uswahili sana, Mfano utakuta Muislam swala tano kila wakati anaenda Msitini lakini akipata shida anaenda kwa Mganga wa kienyeji.
Sure,hizi dini za kujaaa zimetujaza ujingaa mkuu.Mbona waarabu wakomakini sana na Biashara zao.Sisi weusi ndini tunazitumia vibayaa ATI mtu hafugi nguruwe kisa Mtume afu anamlaum jiranii kwanini anamloga maisha yake magumu.
 
Back
Top Bottom